Hivi umeshawahi kujiuliza hili swali.
Ni kwanini ladha na mvuto wa mwanamke wa kiafrika imepungua sana na sio
kama zamani? Unalala na mwanamke kitanda kimoja lakini moyo wako wala
haushituki.Ni kama vile umelala na msela wako ghetto.Wanawake wa
sasahivi wamepoteza mvuto kabisa ni afadhari hata ya picha za kuchora.
Sababu ni nyingi sana lakini sababu mojawapo ni kuwa wanawake wa sasa
walio wengi wanaendekeza usasa na kusahau asili ya urembo wa mwanamke wa
kiafrika.Zamani ilikua ni mwiko kwa mwanamke wa kiafrika kukosa angalau
mikanda miwili au mitatu ya shanga kiunoni.
Lakini wanawake wa sasahivi hawajui lolote kuhusiana na umuhimu wa kua
na shanga kiunoni na faida zake.Na wengi wao wanaona ni jambo lilopitwa
na wakati na ni ushamba.Na ndomana wengi wao wamepoteza mvuto na wamekua
kama visanamu vya kuchonga ambavyo havina stimu yeyote.Wamebaki na
kung’ang’ana na mikufu na cheni ambao ni utamaduni wa kimagharibi na
kusahau utamaduni wao wa asili ambao ni shanga(chachandu).
Na dhambi hii wanayoitenda itaendelea kuwatafuna na matokeo yake ndio
chanzo cha kuharibika kwa mahusiano mengi na kuvunjika kwa ndoa nyingi
sana.Lakini kwasababu ndio wanawake wetu na ndio mtihani tuliopewa na
Mungu hakuna njinsi.Ngoja niwamegee kidogo unyago huu pengine
wanaweza
kubadilika.
Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongeza mvuto sio
tu kwa wanaume ila hata kwa wanawake pia.Asilimia kubwa ya wanaume
wakiona kiuno kimevalishwa shanga haijalishi kama ni barabarani au ndani
ya daladala lazima dushe zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila
kupenda (kama wewe ni mwanaume lijari lakini)
Shanga zinaongeza hisia kwa mwanaume.Ni raha ilioje kupeana raha na
utamu na mwanamke alievaa shanga.Mwanamke alievaa shanga anavutia zaidi
kupapasa shanga zake wakati wa kupashana joto.Utafiti unaonesha kua
mwanamke anaweza kufika kileleni kwa kumchezea tu shanga zake za
kiunoni.
Shanga zinaongeza msisimko katika swala zima la mapenzi haswa ukipata
mwanaume anaejua kuzitumia.Lakini wanaume wa sasa wengi wao hawana
utaalamu wowote wa kucheza na shanga kwasababu wengi wa wapenzi/wake zao
hawavai.
Rangi za shanga pia zina maana yake.Kwa mfano mwanamke akivaa shanga za
rangi nyekundu maana yake ni kua mazingira hayaruhusu.Rangi nyeupe maana
yake mazingira ni mazuri unaweza kuendelea na mambo mengine.Na rangi
nyeusi maana yake mazingira ni mazuri ila uwanja haujafyekwa.Kwahiyo
shanga peke yake ilikua lugha tosha ya kuwasiliana kati ya mwanamke na
mwanaume.
Mwanamke wa kiafrika anapendeza na kua na mvuto zaidi akijipamba na
mapambo ya asili ya kiafrika. Kwahiyo wito wangu kwenu naomba tubadilike
na tusidharau asili ya urembo wa mwanamke wa kiafrika ili tuweze
kuimarisha mahusiano yetu.Kwasababu mkataa asili ni mtumwa.
Post a Comment