Featured

    Featured

  • Shukrani kwa kutembelea mtandao huu
  • Sambaza mtandao huu kadri uwezavyo
  • Tangaza nasi kwa bei poa
  • Wasiliana nasi
  • Mtaanikwetublog@gmail.com
  • Shukrani

Mwanamke kuwa juu ya Mwanaume ni Mtindo Hatari wakati wa tendo la ndoa

Wanasayansi nchini Brasil Wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji wa tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume, Kwamujibu wa utafiti huo Mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa ni risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume.

Wanasayansi hao wanasema:
Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama  na kushindwa kuzuia pale unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.

Pindi mwanaume anapokuwa anacontrol  movement ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea maumivu hivyo kupunguza hatari
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Translate

Total Pageviews

Copyright © Mtaani Kwetu | Designed By Balozi wa mtaa