Featured

    Featured

  • Shukrani kwa kutembelea mtandao huu
  • Sambaza mtandao huu kadri uwezavyo
  • Tangaza nasi kwa bei poa
  • Wasiliana nasi
  • Mtaanikwetublog@gmail.com
  • Shukrani

Sakata la zari na makalio bandia

Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa, Habari ya Zari a.k.a Boss Lady kuweka makalio bandia imeshika kasi.

Kama utakumbuka majuzi hapo zari alihudhuria hafla ya tangazo la vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diambond wameingia mkataba wa kulitangaza boss lady alipigilia kigauni matata chekundu

Hafla hiyo imezua minong'ono mingi kuhusu zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa

wadau wanadai kuwa shepu aliyoonekana nayo mrembo huyo kwenye haflahiyo kuwa ni tofauti na tulioizoea hadi kufikia wadau kuhoji kuwa je boss lady naye ni mdau wa vigodoro (kuvaa ngua za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shepu)

Hapa nimekusogezea picha kabla akiwa na shepu tulioizoea na shapu Tata


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Translate

Total Pageviews

Copyright © Mtaani Kwetu | Designed By Balozi wa mtaa