Mke wa waziri mstaafu tunu pinda amepata ajali maeneo ya morogoro akitokea Jijini Dar es salaam akielekea Mjini Dodoma amepata majeraja kadhaa na sasa yupo hospital ya mkoa morogoro kwa matibabu
Ajali hiyo ilisababishwa na dereva toyo na dereva toyo amefariki dunia papo hapo


Post a Comment